Ungana nasi kupata taarifa mbali mbali kuhusu michezo Zanzibar
Kamishna wa Michezo akihutubia katika Ufunguzi wa Mbio za Marathon.
Viongozi Mbali mbali wakiwa katika picha ya Pamoja.
Kikao cha Mashirikiano kilichofanyika Visiwani Zanzibar.
Kwa sasa Zanzibar ina viwanja vitatu vya kitaifa ambavyo ni Amaan, Mao Zedong na Gombani Pemba.
Uwanja wa Amaani.
Uwanja huu Umefunguliwa na Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mwalimu Julius K.Nyerere Tarehe 12/01/1970 .
Uwannja wa Mao Zedong
Uwnja huu ulifunguliwa rasmin tarehe 03/01/2019 na Rais wa awamu ya Saba Zanzibar Dk. Ali Mohamed Shein.